EXCLUSIVE (TANZANIA) – Ommy Dimpoz soon kuja na ‘Achia Bodi’
15 December 2015

Hitmaker wa ‘Wanjera’ Ommy Dimpoz anatarajia kuachia wimbo mpya hivi karibuni uitwao ‘Achia Bodi’.
Katika wimbo wake wa mwisho msanii huyo aliweka gumzo kwa kumtumia Wema Sepetu kama video queen kwenye wimbo wa ‘Wanjera’, ametease katika ukurasa wake wa Instagram kwa kushare atwork ya wimbo huo.
Pia hajatoa taarifa kamili kuhusu kutoka kwa wimbo huo kama ni audio pekee au video au zote kwa pamoja.




Leave your comment