NEW VIDEO (TANZANIA) – Tazama Malkia alivyotambulishwa na Kala Jeremiah
14 December 2015

Msanii wa hip hop Kala Jeremiah ameendelea kung’ara katika tasnia ya muziki, ijumaa ya wiki iliyopita msanii huyo ameachia audio na video ya wimbo mpya unaitwa ‘Malkia’.
Kala Jeremiah amekuwa akishare na mashabiki kuhusu uzinduzi wa wimbo huo uliofanyika Club Billcanaz. Video ya wimbo huo imeongozwa na Pablo.
Kala alisema amefanya video hiyo na director huyo kwasababu humfanyia vitu vizuri na kwa pamoja wanatengeneza hutengeneza team nzuri.
Tazama video yake hapa;




Leave your comment