EXCLUSIVE (TANZANIA) – Vanessa Mdee namba mbili katika orodha ya MTV Base ya wasanii wa kike walio juu Afrika

Kwa mwaka 2015 umekuwa mwaka wa mafanikio kwa wasanii mbalimbali, Vanessa Mdee pia ni kati ya wasanii wakike waliopata mafanikio makubwa kimataifa.

Mwanadada huyo pekee ndiye aliye busy zaidi na show na si ndani tu ya Tanzania bali Afrika nzima.

MTV Base wametoa Orodha ya wasanii watano walio juu Afrika kwa sasa na hitmaker huyo wa ‘Never Ever’ akishika nafasi ya pili.

  1. Yemi Alade (Tanzania)
  2. Vanessa Mdee (Tanzania)
  3. Seyo Shay (Nigeria)
  4. Cynthia Morgan ( Nigeria)
  5. Bucie (Afrika Kusini)

Leave your comment

Top stories