EXCLUSIVE (TANZANIA) – Never Ever ya Vanessa Mdee kushika namba moja Trace
11 December 2015

Mwanadada Vanessa Mdee anayetamba na wimbo wake wa ‘Never Ever’ kwa hivi sasa, ameendelea kushika chati ya juu kwenye Television ya kimataifa Trace.Wakati Televisheni hiyo inatazamwa na watu wengi na pia inasifika kwa kupiga nyimbo nzuri.
Ambapo video hiyo imeshika namba moja katika Top 10 jana Disemba 10, wakati nyimbo nyingine ya Tanzania ni ya Navy Kenzo ft Vanessa Mdee ikiwa imeshika nafasi ya 4.
Na hii ndiyo listi ya nyimbo nyingine;
09- Kach- Olo
08- Ice Prince- Boss
07- JJC ft Olamide - Motiwa
06- Skales- Lole
05- Davido - Dodo
04- Navy Kenzo ft Vanessa Mdee - Game
03- Di'ja ft Patoranking - Falling for you
02- Phyno - Connect
01- Vanessa Mdee - Never Ever
Tazama hapa video ya Vanessa –Never Ever;




Leave your comment