EXCLUSIVE (TANZANIA) – Nay wa Mitego ampongeza Magufuli (VIDEO)

 

Utendaji kazi wa Raisi Magufuli umeendelea kupongezwa na watu wenye itikadi na misimamo mbalimbali tangu achukue madaraka ya juu ya nchi.

Rapper Nay wa Mitego ambaye alikuwa bega kwa bega kumpa support aliyekuwa mgombea Uraisi kupitia UKAWA, Edward Lowasa, amempongeza Magufuli kwakuwa ni mchapakazi.

Amesema kama ataendelea na kasi hiyo hiyo aliyonayo sasa, uchaguzi ujao ataipata kura yake.

“Mimi napenda anachokifanya na napenda tu niamini au napenda kuona na kuthibitisha kwamba hichi kinachoendelea sasa kipo real na sio fake”.

Tazama hapa video hiyo;

Leave your comment