EXCLUSIVE (TANZANIA) – Quick Rocka adhihirisha uhusiano wake na Kajala baada ya kukataa kwa muda mrefu
7 December 2015

Msanii wa Bongo Fleva Quick Rocka na muigizaji wa Bongo Movie Kajala Masanja hawakuwahi kukiri hadharani kuwa na mahusiano, japokuwa kuna tetesi za wawili hao kuwa ni wapenzi.
Quick Rocka imemladhimu kukiri jambo hilo hadharani wakati akihojiwa katika kipindi cha Amplifaya cha CloudsFm. Ambapo alizungumza sababu za kuamua kutoyaweka wazi maisha ya uhusiano wao.
Rocka amesema “Sometimes some things have to stay private maana mahusiano yanakuwa public sana ndio maneno yanakuwa mengi so sometimes vitu ni better kuwa private kidogo ili kuwe na usisi nadani yake yeah we are doing good …Maneno ya mtaani ni mengi ukweli wa ndani tunaujua wenyewe”.




Leave your comment