EXCLUSIVE (TANZANIA) – Tuzo za HiPipo za Uganda kuwataja AliKiba, Diamond na Vanessa Mdee kuwania tuzo hizo
3 December 2015

Tuzo za HiPipo za Uganda zawataja AliKiba, Vanessa Mdee na Diamond kuwania tuzo hizo kwa mwaka 2016.
Ambapo wasanii hao wametajwa kwenye vipengele vya Afrika Mashariki.
Kipengele cha kwanza ni East Africa Super Hit ambacho kinawaniwa na wasanii wa Kenya na Tanzania. Nana ya Diamond, Nobody But Me ya Vanessa Mdee ft K.O na Mwana ya AliKiba zimetajwa.
Pia kipengele cha East Africa Best Video ambapo Nana ya Diamond na Nobody But Me ya Vanessa zimetajwa.




Leave your comment