Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
EXCLUSIVE (TANZANIA) – Patoranking alivopagawisha stejini ijumaa iliyopita
30 November 2015

Msanii kutoka Nigeria Patoranking anayetamba na kibao cha My Woman My Everything ametoa show kali ijumaa iliyopita jijini Dar es salaam.
Msanii huyo aliyesindikizwa na Vanessa Mdee, Aika, Nahreel pamoja na Ben Pol na wengine, ambapo walitumbuiza huko Escape 1 Mikocheni Novemba, 27.
Tazama baadhi ya picha za show hiyo hapa chini;




Weekly Top 10 songs
Top stories
- Uganda yanni
28 June
- @GAN theking#
28 June
- NEW COLLABORATION UNLOCKED
01 July




Leave your comment