EXCLUSIVE (TANZANIA) – Ommy Dimpoz kufunga mwaka kwa kufanya ziara yake Kenya
30 November 2015

Msanii Ommy Dimpoz kwa sasa yupo nchini Kenya ambako weekend iliyopita alianza ziara yake ya kufunga mwaka nchini humo, kwa kufanya show ya kwanza ambayo ni ya kishindo.
Omary Nyembo aka PKP ametumbuiza siku ya jumamosi Novemba 28, kwenye county ya Turkana karibu na mpaka wa Sudan, ambako anasema wasanii ambao hupata nafasi ya kutumbuiza huko ni wale ambao wamehit sana.
Katika ziara hiyo Dimpoz anatarajia kufanya show 7.





Leave your comment