EXCLUSIVE (TANZANIA) – Mafikizolo na Diamond kushoot video yao Desemba 10 mwaka huu
27 November 2015

Kundi la Mafikizolo la Afrika Kusini limethibitisha kushoot video ya kolabo waliyofanya na Diamond kufanyika Disemba 10.
Taarifa hiyo imetolewa na moja ya member wa kundi hilo, Nhlahla Nciza kupitia Instagram baada ya kumjibu shabiki wa Diamond aliyeuliza sababu ya kuchelewa kwa wimbo huo.
“We are shooting a video with @diamondplatnumz on the 10th December boss we know you guys have been waiting, one love”
Ambapo wimbo huo umefanyika tangu mwaka jana.




Leave your comment