EXCLUSIVE (TANZANIA) – Mayunga afanya video na mrembo aliyewahi kutokea kwenye video ya Big Sean na Chriss Brown, Ty Dolla Sign
26 November 2015

Baada ya kushinda katika shindano la kusaka vipaji la Airtel Trace Music Star, Nalimi Mayunga alishinda mkataba wa kurekodi na Universal Studio wenye thamani za Dola 500,000. Ambapo pesa hiyo imetumika kurekodi audio na video na mwimbaji Akon huko Los Angeles Marekani.
Mayunga amesharudi Tanzania baada ya kumaliza kazi yake ya kuredkodi audio pamoja na video akiwa na Akon. Mshindi huyo ameshoot video na mrembo aliyewahi kuonekana kwenye video ya Big Sean ft Chriss Brown ya Ty Dolla Sign.
Tazama video hiyo hapa kumuona mrembo huyo;




Leave your comment