EXCLUSIVE (TANZANIA)- Khadija Kopa sasa ndani ya Mdundo

 

 

 

Habari njema kwa wapenzi wa muziki wa mwambao yaani taarabu, sasa unaweza kupata nyimbo kutoka kwa Khadija Kopa.

Mwimbaji huyo mashuhuri ambaye kwa takribani zaidi ya miaka 10 amekuwa kwenye fani hiyo ya taarabu, na amefanikiwa kuiwakilisha vyema Tanzania ndani na  nje ya nchi. 

Kwa sasa unaweza kudownload nyimbo zake bure kabisa kupitia mdundoApp, nyimbo ambazo unaweza kuzipata kwa sasa ni Mama Mkubwa, Y2K, Top in Town, Fahari ya Mwanamke.

Leave your comment