EXCLUSIVE (TANZANIA)- Idriss Sultan aongezeka katika list za mastaa ambao akount zao za Twitter ziko verified

 

 

Mshindi wa Big Brother Africa 2014, Idris Sultan  amefanikiwa kuiwakilisha vizuri nchi ya Tanzania kwa mafanikio yake baada ya ushindi wa shindano hilo.

Leo Novemba 5, 2015 ameweza kupata kibali cha umiliki halali wa account yake ya mtandao wa Twitter kwa account yake kuwa verified. Idriss mwenye umri wa miaka 22 kwa sasa ataungana na mastaa wengine wa Tanzania ambao accont zao pia ziko verified.

Mastaa hao ni Raisi mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete, Ambwene Yesaya (AY), Ali Kiba, Vanessa Mdee, Diamond Platnumz na wengine wengi.

Leave your comment