TANZANIA MUSIC THURSDAY - “Zeze” TID si ya kukosa kurejea kuitazama

 

 

Katika TMT leo, tunaitazama video ya TID aliyomshirikisha Jay Mo, wimbo huu unaoitwa Zeze ni wimbo wa kitambo kidogo unaohusu mapenzi na kufananisha na kifaa cha muziki aina ya Zeze

“Kama wanipenda, kaninunulie zeze, nikilala kitandani zeze lanibembeleza” hiyo ni baadhi ya mistari kutoka katika wimbo huo.

Tazama video hiyo hapa.

https://youtu.be/5TXZQA5zKao

Leave your comment