EXCLUSIVE (TANZANIA): Jua Kwanini Dully Sykes Hakushiriki Kwenye Upigaji Kura Uchaguzi Mkuu 2015!
30 October 2015

Najua kuna baadhi ya watu walishiriki kupigia Kura kwenye Uchaguzi Mkuu 2015 lakini stori ninayotaka kukusogezea ni hii kutoka kwa msanii wa Bongo Fleva, Dully Sykes ambaye hakushiriki kupiga kura.
NEW VIDEO (TANZANIA)- Linah athibitisha kuja na video mpya baada ya “No stress”
Alieleza sababu zilizomfanya kutoshiriki kupiga kura na kusema, ‘Sikuweza kupiga kura kwasababu sikubahatika kupata muda wa kwenda kupiga , lakini siyo mbaya kwa wale waliopata nafasi ya kufanya hivyo‘
SIDEBAR
EXCLUSIVE (TANZANIA) - Kolabo kati ya Alikiba na Sauti Sol ipo njiani kuachiwa
‘Mwaka huu umekuwa na changamoto kubwa sana..! watu wanaweza hadi kuwatukana waheshimiwa, mimi naogopa sana, maoni yangu nasema tumalize kwa amani, tumpokee kiongozi husika na maisha yaendelee‘, aliongeza Dully




Leave your comment