EXCLUSIVE (TANZANIA) - Kolabo kati ya Alikiba na Sauti Sol ipo njiani kuachiwa
28 October 2015

Ali Kiba na Sauti Sol wamewatamanisha mashabiki kuhusu kolabo yao inayokuja hivi karibuni. Wasanii hao wamewatease mashabiki wao kwa kupitia kurasa zao za Instagram iliyofanyika jijini Nairobi Kenya hivi karibuni.
Sauti Sol walipost picha na kuandika :Kazi ipo King Kiba na Sauti Sol Muziki wa kiafrika #LiveandDieinAfrika #Kenya #Tanzania




Leave your comment