EXCLUSIVE (TANZANIA)- Christian Bella na Ali Kiba wamaliza kushoot video ya Nagharamia Afrika Kusini
29 October 2015

Wasanii Christian Bella na Ali Kiba waliopo Afrika Kusinikwa sasa wakamilisha kushoot video ya wimbo wao unaoitwa Nagharamia nchini humo.
Kwa mujibu wa tovuti ya Bongo5 Bella amesema kazi hiyo imeenda kama walivyopanga, “video tumemaliza jana, na imeenda poa na Novemba inatoka audia na video, kwahiyo sasa hivi mashabiki wasubirie mambo mazuri yanakuja” alisema Bella.
Source: Bongo 5




Leave your comment