EXCLUSIVE (TANZANIA)- Idriss Sultan hatimaye kufunguliwa account yake ya Instagram

<p style="text-align: justify;"><img src="/media/articles/1446019613_1574_b.jpg" alt="" /></p>
<p style="text-align: justify;">Mshindi wa &nbsp;Big Brother Afrika (BBA) mwaka jana (2014) Idriss Sultan alifngiwa account yake ya Instagram kutokana na kukiuka kanuni za mtandao huo wa kijamii. Idriss alisema alifungiwa baada ya kupost kipande cha video kutoka kwenye movie ambacho yeye hakujua kama hiyo movie imefungiwa.Hatimaye account yake imefunguliwa na kwa sasa inafanya kazi kama kawaida.</p>

Leave your comment