EXCLUSIVE (TANZANIA): Peter Msechu Hajapiga Kura? Jua Sababu!

Najua Wa TZ wamekaa tayari kusubiri majibu au matokeo ya Uchaguzi mkuu uliofanyika TZ October 25 2015, lakini wako ambao hawakupata nafasi ya kupiga Kura, kati yao ni staa wa muziki Peter Msechu.

EXCLUSIVE(TANZANIA)- Karibu Music Festival kurudi tena 6-8 Novemba,2015


Msechu amesema juzi alikuwa safarini kwa bahati mbaya aliumwa na kulazwa lakini alipata matibabu na kutoka mapema, baada ya kutoka alifika nyumbani kwake na kukuta mtoto wake anaumwa pia, akalazimika kumuwahisha Hospitali kupata matibabu.. siku nzima ikaisha na akashindwa kupata muda wa kupiga Kura.

EXCLUSIVE(TANZANIA)- Diamond Platnumz ashinda tuzo za MTV EMA “Best World Wide Act Africa/India".
Mastaa wengine waliofanikiwa kupiga Kura ni pamoja na Izzo Bizness, rapper Joh Makini na Snura ambapo mastaa hao wamesema walipata changamoto kidogo lakini wamejisikia poa sana kutimiza wajibu wao kupiga Kura.


Kingine mastaa hao wamesisitiza amani na utulivu wakati huu ambao watu wanasubiri matokeo kutangazwa kwenye ngazi mbalimbali ikiwemo kwenye Udiwani, Ubunge na Rais.

SOURCE:  Millardayo

RELATED 

 EXCLUSIVE (TANZANIA)- Sharobaro Records kuleta mapinduzi (Bob Junior)

Leave your comment