EXCLUSIVE (TANZANIA)- Video ya Shaa kupata views zaidi ya Million 20 Youtube
21 October 2015

Sugua gaga ya mwanadada Shaa imepata views zaidi ya millioni 20, kwa mara ya kwanza video kutoka Afrika Mashariki kupata views nyingi kiasi hicho. Hadi jumatano (21/10) imefikisha idadi ya views mil. 20,317,143. Ikifuatiwa na video ya “Sintya Loss”- Eddy kenzo yenye views mil.14,672,503 na kufuatiwa Number 1 (Remix) ya Diamond alomshirikisha Davido yenye viewers mil. 10,897,186. Nyimbo ya Sugua gaga iliongozwa na Adam Juma kutoka Tanzania




Leave your comment