EXCLUSIVE (Tanzania)- Barnaba kufanya kolabo na Jose Chameone (Uganda)
21 October 2015

Msanii Barnaba kufanya kolabo na msanii kutoka Uganda- Jose Chameleone. Kolabo hiyo inayoenda kwa jina la Nakutunza, imerekodiwa katika studio za High Table Sound zinazomilikiwa na Barnaba.
Barnaba aliandika kwenye ukuarasa wake wa Instagram “with my Bro @jchameleone From UG Asante sana for your Time Asante Sana Leo pale @High Table Sound kiukweli can’t wait …Kwakweli Song…..#NAKUTUNZA with #joseeee November Loading,” katika picha ya aliyoiweka Instagram. Msanii Jose Chameleone alikuwa nchini Tanzania kwa ajili ya performance.




Leave your comment