EXCLUSIVE(NIGERIA): Seyi Shayi Agundua Tanzania Kuna Wasanii Bora Kwa Afrika
21 October 2015

Msanii Seyi Shayi amesema amefanya utafiti na amegundua Tanzania ina wasanii bora kwa Afrika. Mwanadada huyo anayetamba na kibao chake cha “Right Now” ameyasema hayo wakati akiongea na Diva kwenye kipindi cha Ala za Roho cha CloudsFM wiki iliyopita.
EXCLUSIVE (TANZANIA) – Mabeste na mpenzi wake kuchora tattoo za majina yao
Alisema “Nimekuwa nikifanya utafiti wangu nyie, (Tanzania) mna wasanii bora Afrika, sidanganyi kabisa” akaongeza kuwa “Nasubiri sana siku moja tuweze kukutana na kufanya wimbo mmoja mkubwa na wasanii wa Afrika”
TAZAMA
RELATED
EXCLUSIVE (TANZANIA) - Single ya Belle 9 “Shauri zao” yatambulishwa kwa mara ya kwanza Trace Urban




Leave your comment