EXCLUSIVE (TANZANIA) - Single ya Belle 9 “Shauri zao” yatambulishwa kwa mara ya kwanza Trace Urban

Wasanii wengi wa Tanzania wanajitaidi kupeperusha bendera ya Taifa kimataifa na inaleta faraja kwa kazi zao nzuri na kufikia kiwango cha kuonyeshwa katika televisheni za kimataifa. Single ya Belle 9 "Shauri zao" yapigwa leo kwa mara ya kwanza katika televisheni ya Trace Urban katika kipengele cha Brand New. Hii ni habari njema kwa Tanzania na fans wa Belle 9 kwa juhudi na kazi nzuri anayoifanya na kutambulisha taifa.

Leave your comment