EXCLUSIVE(NIGERIA): Wasanii AKA, Davido Na Wizkid Kupita Katika Mchujo Wa Kwanza Wa Tuzo Za MOBO

Tuzo za “Music of Black Origin” Uingereza mwanzoni mwa mwezi Oktoba ilitangaza majina 10 ya wanamuziki wanaowania tuzo hizo. Baada ya wiki moja mchujo ulifanyika kwa kuangalia wingi wa kura za wasanii na kubaki nominees watano.

EXCLUSIVE : Isikupite Hii Video Walivyopokelewa Tanzania Diamond, Vanessa Na Ommy Dimpoz Baada Ya Tuzo Za AFRIMMA

Baada ya mchujo wasanii waliofanikiwa kupita ni Davido (Nigeria), AKA (Afrika Kusini), Wizkid (Nigeria), Fuse ODG (British-Ghana) na Shatta Walle (Nigeria). Na majina yaliyokosa kura yalikuwa ni ya wasanii Yemi Yalade (Nigeria), Patoraking (Nigeria), Silva Stone (British- Sierra Leone-Ghana) na Mista Silva (British-Ghana).

EXCLUSIVE (TANZANIA): Ommy Dimpoz Kumuongeza Abby Katika Management Yake

 

Katika tuzo hizo hakukuwa na jina la msanii yoyote kutoka Afrika Mashariki aliyetajwa kuwania tuzo hizo.

Leave your comment