EXCLUSIVE (TANZANIA): Shetta Azungumzia Swala La Umuhimu Wa Kupiga Kura
21 October 2015

Ikiwa zimesalia siku tano kabla ya uchaguzi mkuu Tanzania, msanii Shetta azungumzia umuhimu wa watanzania kupiga kura. Shetta alizungumza hayo katika kipindi cha The One show cha TV1 wiki jana na kusema “kadi yako ndiyo kura yako, mtanzania usiache nafasi hii ili kumchagua kiongozi atakeyetumikia taifa kwa usawa”. Msanii huyo kwa sasa anatamba na kibao chake kinachoenda kwa jina la Shikorobo alomshirikisha KCEE wa Nigeria.
RELATED




Leave your comment