EXCLUSIVE (NIGERIA) - Msanii Sayi Shayi kutoa Remix ya Right Now

Mwanadada Seyi Shay atoa remix ya wimbo wake wa “Right Now” akiwashirikisha wakali Bank W na Iyanya kutoka Nigeria. Mwanadada huyo ambaye alitoa single yake hiyo hivi karibuni, pia aliongea na Diva wa Clouds FM wiki jana na kueleza jinsi gani Tanzania ilivyo na wasanii wazuri na anahamu ya kufanya nao kazi.

Leave your comment