EVENT (TANZANIA): Frasha Kuperform Rhapsody Akisindikizwa Na AY.

Msanii Frasha kutoka Kenya wa Kundi la P-unit ataperform kesho Ijumaa ya tarehe 16/10 Rhapsody huku akisindikizwa na msanii AY kutoka hapa Tanzania. Msanii huyo akiongea na Clouds FM alisema anafuraha kuwepo hapa na ameandaa vitu vizuri so kila mtu afike pale for the good performance ambayo amewaandalia.

RELATED 

 NEW VIDEO (KENYA): Hilarious New Visuals From Frasha And Rapdamu!

Leave your comment

Top stories