OMUTIMA GWANGE - New Hit Song by RonnyStar TZ Out Now!

Habari wapenzi wa muziki!

Msanii wenu RonnyStar TZ ameangusha ngoma mpya kali inaitwa OMUTIMA GWANGE ❤️

Ni wimbo wa mapenzi unaogusa moyo, unazungumzia mapenzi ya dhati - "Omutima gwange guli nawe" (Moyo wangu upo kwako).

Wimbo huu umetayarishwa kwa mapenzi makubwa kwa ajili yenu na unapatikana sasa kwenye Mdundo na majukwaa yote ya muziki.

Ningependa sana muusupport kwa ku-download, kusikiliza na kushare kwa marafiki na wapendwa wenu.

Asanteni sana kwa support yenu ya siku zote. Mungu awabariki!

Follow me:
YouTube: RonnyStar TZ
Facebook / Instagram: RonnyStar TZ

#RonnyStarTZ #OmutimaGwange #BongoFleva #TanzaniaMusic #NewRelease

Leave your comment