SAYUNI INAKUJA KIVINGINE.

Sayuni choir tz tunakuja kivingine tukiwa na nguvu mpya. Endeleeni kutufuatilia youtube,facebook,tiktok na instagram kwa jina la "SAYUNI CHOIR TZ". Mungu awabariki sana na kuwapa faraja kupitia nyimbo zetu zilizopo na zinazokuja hivi karibuni.

Leave your comment