TUZO ZA AFRIMMA: Baada Ya Tuzo Haya Ndio Waliyoyasema Washindi

Wasanii waliojinyakulia tuzo ya kimataifa ya AFRIMA 10/10/2015 huko Marekani, ambao ni Diamond, Vanessa na Ommy Dimpoz na kuipeperusha vema bendera Tanzania. Diamond amesema kuwa amefurahi sana kwa ushindi huo na ameidedicate tuzo hiyo kwa binti yake Tiffah.

TUZO ZA AFRIMMA- Baada ya tuzo haya ndio waliyoyasema baada ya tuzo h

Pia Vanessa ameshukuru watu wote waliompigia kura na kumpa support na kuwaambia wasichana wengine pia kuwekeza katika muziki kama ambavyo yeye amefanya.

RELATED

 COLLABO OF THE DAY (TZ/NIGERIA): Absolute Music Bliss From Vanessa And 2 Face Idibia!

Leave your comment

Other news