EXCLUSIVE: MTV EMA - Diamond Platnumz Kuwa Mshiriki Pekee Wa Afrika Mashariki

Msanii kutoka Tanzania, Diamond Platnumz ndiye mshiriki pekee katika tuzo za MTV EMA ambazo ni tuzo za nyimbo za ulaya (European Music Awards) ambaye pia ametoka kujinyakulia tuzo ya AFRIMMA mwishoni mwa wiki iliyopita, ikiwa leo ndiyo siku ya mwisho ya kupiga kura ili kumwezesha kupata tuzo hiyo. Tuzo hizo zinzotarajiwa kufanyika 25 October mji wa Milan huko Itallia.

RELATED

 NEW VIDEO (TANZANIA): Mwanza's Beloved Son Don Classic, Releases New Visual Piece!

Leave your comment