Wimbo mpya hivi karibuni...

Wimbo mpya kutoka kwetu SAYUNI CHOIR TZ utakuwa hewani kwenye digital platforms maarufu. Agosti 28 wimbo mpya unaokwenda kwa jina la "Mimi ndimi mzabibu" utasambazwa kwenye platforms zote za mziki zinazoweza kufikiwa na distributor/msambazaji wetu. Endelea kutufuatilia.

Leave your comment