Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
Rasmi kuitwa Sayuni Choir Tz
16 April 2026
Kuanzia jana tarehe 15 aprili 2025, kwaya yetu ya "Sayuni" tumefanikiwa kubadili jina la ukurasa wetu wa facebook mtandaoni kutoka " Sayuni Dnpc Getak" kwenda "Sayuni Choir Tz". Hivyo tunapenda kuwaarifu wote wanaotufuatilia kupitia instagram(www.instagram.com/sayuni_choir_tz), facebook(www.facebook.com/sayunichoirtz), tiktok(www.tiktok.com/@sayunichoirtz) na youtube(www.youtube.com/@SayuniChoirTz) tunapatikana kwa jina la "Sayuni Choir Tz" Asanteni na Mungu awabariki. Amina.




Leave your comment