Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
Sayuni Choir Tz Yatambulisha Albam
14 March 2026
Karibuni sana watu wa Mungu kwenye injili ya ufalme wa Mungu kupitia Bwana wetu Yesu Kristo, aliyekubali kupata mateso ya msalaba kwa ajili yetu. Tunawakaribisha kutazama ama kusikiliza video yetu ya utangulizi wa albam yetu mpya youtube, tunapatikana kama "Sayuni Choir Tz". Karibuni sana kusikiliza ujumbe wa MUNGU kupitia channel yetu ya youtube na MUNGU awabariki sana.
Weekly Top 10 songs
Top stories
- Brand new song
28 April
- So good EP release
28 April
- #NEW MUSIC #NEW artist #RAYMATS!
30 April




Leave your comment