Nyimbo Kali Mpya 2026 Kutoka Sayuni Choir Tz

Pata nyimbo mpya kali kutoka waimbaji wa "SAYUNI CHOIR TZ". Hawa ni waimbaji wa nyimbo kali za kusifu, kuabudu pamoja na nyimbo za injili kutoka kanisa la D.N.P.C Getak chini ya mchungaji STEPHANO GABRIEL.
Nyimbo zilizo online hadi leo tarehe 26/02/2026 ni;
1. "Upendo wa Yesu" by Sayuni Choir Tz

2. "Bwana Yesu Awaita" by Sayuni Choir Tz

3. "I Khirfuti Mungu" by Sayuni Choir Tz

Leave your comment