Nesty Tz
23 February 2026
#Asalamaleykum,Bwana asifiwe, Nimekaa kimya kwa mda mredu bila kuachia kazi hii ni kutokana na changamoto za kifamilia na hii haijaweza kunibadilisha kwa chochote Nesty ni yuleyule, hapa karibuni nitaachia kazi mpya naomba mapokezi yenu mashabiki zangu na watanzania kwa ujumla Ahsant




Leave your comment