EXCLUSIVE (TZ): Tuzo Nyingine Zinazowahusu Wakali Wa Nigeria 2015, Diamond Platnumz Nae Yumo!

 

Ukitaja Tuzo kubwa zinazohusu Muziki wa Tanzania ni Tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards… Nigeria nao wanazo za kwao, zinaitwa Headies Awards na good news ni kwamba tayari wakali wanaowania Tuzo hizo wamefahamika.. yani ile list ya Nominees wote niko nayo tayari.

Tumeona kwa KTMA huwa inatoa Tuzo pia kwa baadhi ya wasanii wa nje, mfano kipengele cha ‘Wimbo Bora Afrika Mashariki‘… YES, Nigeria nao wana Category ya AFRICAN ARTISTE ambapo Nominees wa hapo ni wasanii wanaofanya poa kutoka Nchi mbalimbali za Afrika nje ya Nigeria.

NEW VIDEO (TANZANIA): 'Nerea' Remix By Jaco Beatz And Malisam 28 September

Category hiyo kwenye Headies Awards 2015 imewakutanisha wakali kama AKA, Cassper Nyovest, na Uhuru toka South Africa, Sarkodie wa Ghana pamoja na Diamond Platnumz toka Tanzania.

Get to see all the artists up for nomination via this link>> Full list of nominees

EXCLUSIVE (TANZANIA): Swizz Beatz Jamming To Two Of Diamond Platnumz Singles!

SOURCE: Millardayo.com

RELATED

 EXCLUSIVE (TANZANIA): Muziki wa Barakah Da’ Prince ulianzia hapa.. Diamond na post za Swizz Beatz !! Dully Sykes na Siasa..

Leave your comment