ALBAMU MPYA KUTOKA GOSPEL BAND "TUNAKUSHUKURU"

Haleluyaa Mtu wa Mungu!,Gospel Band PEFA Ngara mjini Tumekuandalia ALBAMU yenye jumla ya Nyimbo nane(8)Kwa jina la "TUNAKUSHUKURU"
Tunakukaribisha kupakua na kusikiliza Nyimbo hizi ambazo Kwa hakika zitakuweka karibu zaidi na Mungu pia kukuburudisha

Leave your comment