NEW VIDEO (TANZANIA): Kitu kipya cha mkali mwenyewe Belle 9 hiki hapa mtu wangu, ‘Shauri Zao’ (Video)

Belle 9 ni staa wa Bongo Fleva, ni moja ya majina ya mastaa wachache ambao hata kama hawajatoa ngoma mpya au midundo yao haisikiki On Air, bado jina lake kwenye huu muziki lipo na linatambulika mara zote !!

EXCLUSIVE (TANZANIA): Diamond Platnumz Reigns Supreme At The African Nafca Awards!

Ukali wake sio kwenye ngoma zake tu, collabo kama ‘Nimechokwa‘- Shetta Feat. Belle 9 na nyingine nyingi zinathibitisha kuhusu ukali wake kwenye industry ya muziki.

EXCLUSIVE (TANZANIA): Diamond Speaks Of Baby Tiffa's DNA And Wema Sepetu! (Video)

Kimya kingi lakini muziki hajauacha !! Karudi na kitu kipya kwenye Video kabisa sasahivi, ngoma inaitwa ‘Shauri Zao‘, enjoy mtu wa nguvu na good music ya Belle 9.

SOURCE: Millardayo

RELATED 

 CHARTS (TANZANIA): Rap Takes Over The Bongo Top Ten!

Leave your comment