EXCLUSIVE (TANZANIA): Picha za Birthday Party ya Ommy Dimpoz Wakiwemo Na Mastaa Mbalimbali

Sherehe za birthday nazo zina uzito wake, Unaambiwa msanii Omary Nyembo aka Ommy Dimpoz ambaye usiku wa Sept 13,2015 alishea siku yake ya kuzaliwa na watu mbalimbali wakiwemo mastaa wengi kutoka kwenye tasnia ya Bongo Fleva, kiukweli ilipendeza sanae.

Unaweza kucheki pichaz ambazo mtu wako wa nguvu nimekusogezea uzicheki na usipitwe pia.

The birthday boy himself

The music themed cake

 

Kushoto, Elizabeth Michael, Ommy Dimpoz na Idris Sultan

Ommy Dimpoz akimlisha keki meneja wake, Mubenga

Ommy Dimpoz akilishwa keki na Ambwene Yessaya aka A.Y

Source: Millardayo.com

 

 

Leave your comment