Wimbo Mpya Wiki Hii Magharibi Kenya: Kama Engine Ya Gari - Jay S Barn B Michano Na Bruno Superstarna

Kama unatafuta wimbo ambao utakupa tumaini na faraja pindi ukiwa unapitia changamoto mbalimbali basi hii hapa ya kuuitwa "Kama Engine Ya Gari" https://mdundo.com/song/3323865 skiliza.

Hii ni moja ya nyimbo kali "Kama Engine Ya Gari" ni namna ambavyo Jay S Barn B Michano na Bruno Superstarna wameweza kuwasilisha ujumbe wao kwa ufundi mkubwa sana.

Kwa sasa hii ndio ngoma ya Zouk inayofanya vizuri magharibi mwa kenya wiki hii.

Leave your comment

Top stories