Isha Mashauzi: Mmoja wa Malkia wa mipasho Tanzania

Mhariri: Hoboka Asukile

Pakua Dj mpya kila siku.

Isha mashauzi ni jina linalojulikana sana kwa wapenzi wa Taarab nchini na nchi za jirani. Kwa sauti yake yenye mvuto wa kipekee inayoelezea hadithi zakina za maisha na mapenzi. Isha amekuwa chachu kubwa katika tasnia ya mjziki wa taarab nchini akiendeleza kuonyesha utamaduni na urithi wa Kitanzamia  kwa kuongeza vionjo vya aina yake.

Mdundo.com imewezesha nyimbo zake kufikia wapenzi wa muziki huu kutoka sehemu mbali mbali duniani, kuongeza ushawishi wake na kutoa fursa kwa mashabiki kugundua na kufurahia kazi zake. Jiburudishe na mix mpya inayoshirikisha nyimbo za isha pamoja na waimbaji wengine wengi wa taarabu.

Jisajili na mdundo uweze kujipatia mix mbali mbali.

Leave your comment