Nyimbo Mpya Tanzania: Ololo Lyrics- Mbosso

[Picha: Instagram]

Pakua DJ Mix Mpya Kila Siku

Verse

Nimefanya survey

Jiji lako liko salama

Umenitoa hofu mashaka, Shulala sholele

Moyo upo bombay

Mwili upo Dar es Salaama

Hisia zimevuka mipaka, Shulala sholele

Raha zimefatizana, utamu sukari tele

Mwilini tukipapasana, zinanisimama nywele

Raha zimefatizana, utamu sukari tele

Mwilini tukipapasana, zinanisimama nywele

Bridge

Oka tafadhali, usiniache kwenye hii safari

Usiende mbali, mi mgonjwa we ndo daktari

Tafadhali, usiniache kwenye hii safari

Usiende mbali, mi mgonjwa we ndo dakitari

Chorus

Olala ololo, olala ololo ololo

Olala ololo, olala ololo ololo

Olala ololo, olala ololo loo lolo

Olala ololo, olala ololo ololo

Verse

Baby watazame wale, hawali wakashiba

Wanakesha kuroga tuachane

Kwetu mambo narenare, raha sio kawaida

Wenye presha na pumu ziwabane

Mhhh mapenzi uji wa moto

Puliza mi nikoroge

Kisha nifanye kama mtoto

Unibebe tukaoge

Raha zimefatizana, utamu sukari tele

Mwilini tukipapasana, zinanisimama nywele

Raha zimefatizana, utamu sukari tele

Mwilini tukipapasana, zinanisimama nywele

Bridge

Oka tafadhali, usiniache kwenye hii safari

Usiende mbali, mi mgonjwa we ndo daktari

Tafadhali, usiniache kwenye hii safari

Usiende mbali, mi mgonjwa we ndo dakitari

Chorus

Olala ololo, olala ololo ololo

Olala ololo, olala ololo ololo

Olala ololo, olala ololo loo lolo

Olala ololo, olala ololo ololo

Leave your comment