Tamimu sudi almaarufu Tamimu omulungi msanii wa gilam pamoja na music

Tamimu omulungi ndo king ofzouk kagera bukoba na mfalme qa filam kwa jna lingine maigizo pia ni mqanzilishi wa kundi la qazuri clasc na wazuri arts group ni mzaliwa wa kemondo mkoani kagera pia ni msanii mqimbaj pekee anaetumia tune yake pia mjasiria mali na kijana mpambanaj ana miliki flam za kqale peke yake zifuatazo kama 36 na nyimbo kama 448 ambazo amere cord tyr na ajaziachia rasmi pia n mfanya biashar tfaut tfaut upande wa din ni muislm pia n mtoto wa pili kweny familia ya watoto wa tano wa mzee studio na mama yake ramlat na ni pacha ana uwezo wa kuimba live stage

Leave your comment