Free MP3 Download : BAHATI 'FANYA MAMBO' ft DK KWENYE BEAT [ Official Music Video + Lyrics]

[Bahati/YouTube]

Download Top DJ Mixes On Mdundo Today

Release Date: April 28, 2023

Written by: Bahati

Artist: Bahati

Featured Artist: DK Kwenye Beat

Rights: Ziiki

Theme: Thanksgiving  

Style: Gospel

Language: Swahili

Join Our WhatsApp Chat Community To Get Latest Updates

The song encourages listeners to be grateful for their blessings, have faith in God's plans, and endure in the face of adversity. It touches on themes of thankfulness, faith, and perseverance. It has an upbeat tone, encouraging people to be committed, diligent, and morally upright.

Fanya Mambo Lyrics by Bahati ft. DK Kwenye Beat 
DK kwenye beat na bahati tena
Teddy b

Umefanya mambo, fanya Mambo
Umefanya mambo aaah, fanya Mambo
Umefanya mambo, fanya Mambo
Umefanya mambo ewe Yesu


Pakatokea dhoruba Kali ,ndio
Mawimbi yanatisha hali, ndio
Wagonjwa wametoka mbali
Aaah fanya Mambo

Ile damu ya Calvary ,ndio
Bado fresh inafanya kazi, ndio
Inaponya Kwa kila hali
Aaah fanya Mambo

Umefanya mambo, fanya Mambo
Umefanya mambo aaah, fanya Mambo
Umefanya mambo, fanya Mambo
Umefanya mambo ewe Yesu

Share Your Favourite Songs To Your Blog

Mwokozi wangu,I love you mmmmwah
Mwokozi wangu,I love you mmmmwah
Nimewacha mavela ,nimewacha mabebe
Nimewacha mavela ,nimewacha mabebe
Mwokozi wangu ,I love you mmmmwah
Mwokozi wangu ,I love you mmmmwah
Nimewacha mavela ,nimewacha mabebe
Nimewacha mavela ,nimewacha mabebe

Ju umefanya mambo, fanya Mambo
Umefanya mambo aaah, fanya Mambo
Umefanya mambo, fanya Mambo
Umefanya mambo ewe Yesu

Toka kitambo kitambo,unafanya mambo
Toka kitambo kitambo,unafanya mambo
Uligawanya bahari wewe,ulishinda farao wewe
Uligawanya bahari wewe,ulishinda farao wewe


Umefanya mambo, fanya Mambo
Umefanya mambo aaah, fanya Mambo
Umefanya mambo, fanya Mambo
Umefanya mambo ewe Yesu

https://www.youtube.com/watch?v=HUZgAcCjBck

About Mdundo.com

Mdundo.com is Africa's leading pan-African music service, dedicated to providing music easily and legally across Africa. With a vast library of African songs, curated playlists and a focus on low internet usage, Mdundo.com is redefining the way people discover, listen to, and engage with African music. Currently, over 145,000 artists have accounts with Mdundo.com, showcasing the platform's commitment to supporting local talent and driving the music industry forward.

You Can Now Promote Your Song To Earn More Money

For those interested in Mdundo visit https://www.mdundoforartists.com/ or contact artist@mdundo.com.

Quick Links

Daily Mixes

DOWNLOAD LATEST BONGO MUSIC MP3

DOWNLOAD LATEST TZ MUSIC MP3

DOWNLOAD LATEST BEST SONGS 2024 MP3

DOWNLOAD LATEST TOP 10 SONGS OF TODAY MP3

DOWNLOAD LATEST MUSIC ALBUMS/EP MP3

DOWNLOAD LATEST TOP 10 SONGS OF 2023 MP3

DOWNLOAD LATEST TOP 10 SONGS OF TODAY MP3

DOWNLOAD LATEST TOP 10 SONGS OF THE WEEK MP3

DOWNLOAD LATEST AFRICAN MUSIC MP3

DOWNLOAD LATEST GHANA MUSIC MP3

DOWNLOAD LATEST KENYA MUSIC MP3

DOWNLOAD MP3 NAIJA MUSIC LATEST

FREE Hot DJ Mixes to Download this Week on Mdundo

Leave your comment

Top stories