Dawa Yangu Lyrics By Bahati Kuku Ft Boni Mwaitege

Image Source: Online

Acha nijivune vune acha nifurahi 

Mbingu zimenifurahisha bwana 

Acha nijivune vune acha nifurahi 

Mbingu imeniheshimisha bwana 

Wanasema nimekupa limbwata baby

Wanasema nimekuendea kwetu 

Wanasema nimekupa limbwata baby

Wanasema nimekuendea kwetu 

 

Dawa yangu ni Yesu baby 

Ni Yesu 

Dawa yangu ni Yesu 

Dawa yangu mafungo baba 

Ni mafungo 

Dawa yangu ni Yesu 

 

Limbwata langu maombi 

Ni maombi

Limbwata langu maombi 

Wanasema nimekupa limbwata baby

Wanasema nimekuendea kwetu 

Wanasema nimekupa limbwata baby

Wanasema nimekuendea kwetu 

Wanasema nimekupa limbwata baby

Wanasema nimekuendea kwetu 

 

Nimesikia wayasemayo hao 

Wanajadili tupendanavyo 

Nimesikia habari zao

Nimesikia maneno yao 

Hata mimi najiuliza baby 

Siri yako ni nini mama 

 

Siri yangu maombi ni maombi 

Siri yangu maombi eeeeh 

Dawa yangu ni Yesu 

Mi ni Yesu 

Dawa yangu ni Yesu 

 

Na kama ipo dawa inayosababisha 

Nikupende naomba nipewe 

Na kama ipo dawa inayoleta 

Amani ya ndoa leo nipewe 

Kumbe Yesu ni dawa inayoleta 

Amani ya ndoa watu wapewe 

 

Kumbe Yesu ni dawa inayoleta 

Kicheko cha ndoa wengi wapewe 

 

 

 

Leave your comment

Top stories

More News