Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
Rosa Ree Aachia Ngoma Mpya "Blessed"
23 March 2024

Image Source: Online
Writer: Charles Maganga
Baada ya ukimya wa muda mrefu kidogo msanii nguli wa Hip Hop kutoka Tanzania Rosa Ree hivi karibuni ameachia ngoma yake mpya ya kuitwa "Blessed"
"Blessed" ni ngoma ya pili kutoka kwa Rosa Ree baada ya mapema mwaka huu kuachia ngoma yake "In Too Deep" ambayo ilipokelewa vyema sana na mashabiki.
Kwenye "Blessed" Rosa Ree anatumia uwezo wake mkubwa wa ku-rap kuonesha ni kwa namna amebarikiwa na anashukuru kwa namna ambavyo maisha yake yamezidi kujawa baraka.
"Blessed" imetayarishwa na mtayarishaji wa muziki kutoka Tanzania wa kuitwa ambaye pia alihusika kutayarisha ngoma ya "Respect" ya Anjella akiwa na Kontawa.
https://youtu.be/YuYsRU6m47w?si=-BGhG6wJkYoBX1Yw
Weekly Top 10 songs
Top stories
- Diso Ziod
21 April
- Lesson
20 April
- Drop new song loyo
21 April




Leave your comment