Free MP3 Download : Maandy 'Bubbly Bubbly (Na Niki)' [ Official Music Video + Lyrics]

[Maandy/YouTube]

Download Top DJ Mixes On Mdundo Today

Release Date: October 27, 2023

Written by: MAANDY

Artist:  MAANDY

Rights: Artist

Theme: Dancing

Style: Urban Gengetone

Language: Swahili

Join Our WhatsApp Chat Community To Get Latest Updates

Mandy's 'Bubbly Bubbly (Na Niki)' is a delightful tune that builds on her previous releases that showcased her melodic skills.

Bubbly Bubbly (na niki) Lyrics by Maandy 

Na nikifika, unajua masaa
Nikirusha unapapasa
Na nikiitisha we harakisha
Na niki— na niki—

Na nikifika, unajua masaa
Nikirusha unapapasa
Na nikiitisha we harakisha
Na niki— na niki— na niki—

Na nikikuita utaitika
Tusisumbuane juu hujafika
Na waiter show tunapima
Nje ya Molly’s na bad zijashika (Bado)

Becky with the good hair, okay
Kabaya big bum bum, oh hey
Tuko jing tunacheza ma Lojay
Ukiwasha patia yule sanse

My baby my lover
Mapenzi undercover (Hush hush)
Na ye huwonder
Kama kuna another (Ni true)
Jing tangu jana
Sitemi sitawacha (No no)
Budget ndio blunder
So dishi kwa kibanda

Na nikifika, unajua masaa
Nikirusha unapapasa
Na nikiitisha we harakisha
Na niki— na niki— na niki—

Na nikifika, unajua masaa
Nikirusha unapapasa
Na nikiitisha we harakisha
Na niki— na niki— na niki—

Mi hupendanga machali tu fulani ah jangili
Ukichapa bare jamo iko bubbly bubbly
Zikishika utachizi na mangoma za Jabidi
Namuua na mastingo, andele andele

Boychild anadai nimpatie ka family
Kama Kabi na Milly, tutoi tuhappily
Mi si dem wa kusettle, ma dream si reality
Kula kitu hungry hungry

Share Your Favourite Songs To Your Blog

My baby my lover
Mapenzi undercover (Hush hush)
Na ye huwonder
Kama kuna another (Ni true)
Jing tangu jana
Sitemi sitawacha (No no)
Budget ndio blunder
So dishi kwa kibanda

Na nikifika, unajua masaa
Nikirusha unapapasa
Na nikiitisha we harakisha
Na niki— na niki—

Na nikifika, unajua masaa
Nikirusha unapapasa
Na nikiitisha we harakisha
Na niki— na niki— na niki—

https://www.youtube.com/watch?v=vLJbmGhYpI4

About Mdundo.com

Mdundo.com is Africa's leading pan-African music service, dedicated to providing music easily and legally across Africa. With a vast library of African songs, curated playlists and a focus on low internet usage, Mdundo.com is redefining the way people discover, listen to, and engage with African music. Currently, over 145,000 artists have accounts with Mdundo.com, showcasing the platform's commitment to supporting local talent and driving the music industry forward.

You Can Now Promote Your Song To Earn More Money

For those interested in Mdundo visit https://www.mdundoforartists.com/ or contact artist@mdundo.com.

Quick Links

Daily Mixes

DOWNLOAD LATEST BONGO MUSIC MP3

DOWNLOAD LATEST TZ MUSIC MP3

DOWNLOAD LATEST BEST SONGS 2024 MP3

DOWNLOAD LATEST TOP 10 SONGS OF TODAY MP3

DOWNLOAD LATEST MUSIC ALBUMS/EP MP3

DOWNLOAD LATEST TOP 10 SONGS OF 2023 MP3

DOWNLOAD LATEST TOP 10 SONGS OF TODAY MP3

DOWNLOAD LATEST TOP 10 SONGS OF THE WEEK MP3

DOWNLOAD LATEST AFRICAN MUSIC MP3

DOWNLOAD LATEST GHANA MUSIC MP3

DOWNLOAD LATEST KENYA MUSIC MP3

DOWNLOAD MP3 NAIJA MUSIC LATEST

FREE Hot DJ Mixes to Download this Week on Mdundo

Leave your comment