Free MP3 Download : Rayvanny 'Kitu Kizito' ft.Misso Misondo [ Official Music Video + Lyrics]

[Rayvanny/YouTube]

Download Top DJ Mixes On Mdundo Today

Release Date: December 5, 2023

Written by: Rayvanny 

Artist: Rayvanny 

Featured Artist: Misso Misondo

Rights: Ziiki

Theme: Love

Style: Bongo Flava             

Language: Swahili

Join Our WhatsApp Chat Community To Get Latest Updates

The highly anticipated song, which features the legendary and powerful DJ Misso Missondo, will add a thrilling joint effort to Rayvanny's already excellent career.

Kitu Kizito Lyrics by Rayvanny ft.Misso Misondo 

We misso missondo
Umepigaje hapo
Hatukupenda kua single
Chui!
Hatukupenda kulewa kila siku
Hatukupenda watuite malaya
Hatukupenda ila ilitokea tulipigwa na kitu kizito
Kitu kizito
Kitu kizito
Kitu kizito
Hata kama unapendwa acha kuringa
Kisa kakuposti umeshaanza kuvimba
Mapenzi yana wiki tu umesha beba na mimba
Kuna kitu kizito
Kitu kizito
Utapigwa na kitu kizito
Kitu kizito

Misso missondo una hatari ntakupa dada

Tumetoka mbali
Tumemfata DJ
Tumetoka mbali sana
Tumemfata DJ
Tumetoka mbali
Tumemfata DJ
Tumetoka mbali sana
Tumemfata na chui

We! We una hatari
We! We una hatari wewe
We! We una hatari
We! We una hatari wewe
Ai mama!
We DJ
Ai mama!
We DJ

Ona toto ilo
Ni wewe tu
Sijui unafeli wapi?
Ni wewe tu
Akigeuka ndo bala!
Ni wewe tu
Baaria unakwama wapi?
Ni wewe tu
Haunogi
Huu mziki bila kulewa
Haunogi
Huu mziki bila mademu jamani
Haunogi
Huu mziki bila kumoka
Haunogi
Haya masela waonyeshe tunachezaje hapo

Share Your Favourite Songs To Your Blog

Digi, digi, digi, digi, digi, dindi
Dugu, dugu, dugu, dugu, dugu, dundu

Digi, digi, digi, digi, digi, dindi
Dugu, dugu, dugu, dugu, dugu, dundu

Digi, digi, digi, digi, digi, dindi
Dugu, dugu, dugu, dugu, dugu, dundu

We misso missondo umepigaje hapoo?

We misso missondo
We misso missondo
We, we, we
Umepigaje hapoo?

Uchawi upo jamani
Uchawi upo
Hivi ilikuaje mikanasa kwa kile kituko
Penzi lilikua na gundu
Lenye misukosuko
Kwanza ananuka shombo
Mwana izaya akwende uko

Ila huyu wasasa jama
Mpeni maua yake
Anajua kuni petipeti
Mpeni maua yake
Ila huyu wasasa jama
Mpeni maua yake
Anajua kuni honga honga
Mpeni maua yake

Soundboy

https://www.youtube.com/watch?v=KSFqiVES6ms

About Mdundo.com

Mdundo.com is Africa's leading pan-African music service, dedicated to providing music easily and legally across Africa. With a vast library of African songs, curated playlists and a focus on low internet usage, Mdundo.com is redefining the way people discover, listen to, and engage with African music. Currently, over 145,000 artists have accounts with Mdundo.com, showcasing the platform's commitment to supporting local talent and driving the music industry forward.

You Can Now Promote Your Song To Earn More Money

For those interested in Mdundo visit https://www.mdundoforartists.com/ or contact artist@mdundo.com.

Quick Links

Daily Mixes

DOWNLOAD LATEST BONGO MUSIC MP3

DOWNLOAD LATEST TZ MUSIC MP3

DOWNLOAD LATEST BEST SONGS 2024 MP3

DOWNLOAD LATEST TOP 10 SONGS OF TODAY MP3

DOWNLOAD LATEST MUSIC ALBUMS/EP MP3

DOWNLOAD LATEST TOP 10 SONGS OF 2023 MP3

DOWNLOAD LATEST TOP 10 SONGS OF TODAY MP3

DOWNLOAD LATEST TOP 10 SONGS OF THE WEEK MP3

DOWNLOAD LATEST AFRICAN MUSIC MP3

DOWNLOAD LATEST GHANA MUSIC MP3

DOWNLOAD LATEST KENYA MUSIC MP3

DOWNLOAD MP3 NAIJA MUSIC LATEST

FREE Hot DJ Mixes to Download this Week on Mdundo

Leave your comment