EXCLUSIVE (TANZANIA): Over 100,000 Views In 1 Day? Ali Kiba's 'Chekecha Cheketua' Video Has The World Talking!

“Jamaniii mi nataka saule kama mapenzi gorofa yamejaa Kariakoo Mi nna mapenzi tele kama kwetu kule Wanao nitaka ni wengi ila kwake nyang’a nyang’a nyang’a” the first words to Bongo’s Ali Kiba in his new massive hit, ‘Chekecha Cheketua’.

In just over 24 ,hours, the video has already gathered over 100,000 views. ‘Chekecha Cheketua’ is Alikiba's 2nd official smash hit release through his worldwide exclusive partnership with his record label and management company 'ROCKSTAR4000' and publishing partnership with 'Rockstar Publishing'. So let’s see what people have to say about this visuals:

Justin Kazaula 5 hours ago
this is what we call awesome, amazing, splendid, marvelous and unique! Unajua kwanini ? King Kiba anatoa video ambazo tunaziita controversial. Yaani zinawaacha watu wanajadili mara hivi mara vile alafu upande wa ile timu nyingne ndo kabsaa wanadata. Wanajifanya kuifikiria video itakua hivi kabla, alafu video ikitoka tofauti ni na matarajio yao. This song is Afropop - hata mavazi yanatakiwa ya kiafro pop, saa utavaaje mavazi ya ki Brooklyn kwa nyimbo ya afro pop kama hii? King Kiba keep the good music coming.

INNOCENT MAGANGA 2 hours ago
Kimsingi kiba amejitahidi kuwa tu na hii video kaitoa kureflect #TBT naona kama ubora wa picha ndo umemuangusha. Idea nzuri, location iko poa kilicho kosewa kwa maoni yangu ni dancers hawajaitendea haki beat, pili ubora wa kipicha sio mzuri sana japo ni mzuri.yangu ni hayo video nzuri ila haijakamilika Team kiba 4 real #Mwanza City Tanzania.........

vicky cyrille 2 hours ago
Huy msanii mkubwa wa bongo mbona nyimbo na video zake zinahit ndani ya week tu zinapotea na kusahaulika kabisa lakini Ali Kiba zinaendelea kutikisa miaka yote tupunguze kurudishana nyuma na Mungu hamnyimi anae tafuta nadai ana video nzuri kumzidi Eddy Kenzo lakini hajawahi pata tuzo za BET mbona Eddy kapata jameni? Tumpongeza anapofanya vizuri mie sina team ni mtazamo wangu mbaya.

LET US KNOW WHAT YOU FEEL ABOUT MDUNDO NEWS

WATCH

https://www.youtube.com/watch?v=ZbCmbWktYh4

Leave your comment